Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Tulikuwa na kikao cha kamati ya masaa 48Unalala kwa waleeee....anawajua obe![]()
Tulikuwa na kikao cha kamati ya masaa 48Unalala kwa waleeee....anawajua obe![]()
.....kupenda ni kiherehere chake tuAganza
Dah! Kazi ya moyo ni kusukuma damu lakini....
Si binamu wanguuMnajuana kumbeee?
Wivu wakooKatafuniwa bado ameze tu![]()
Jamaa ananikosha sana huyuBila kumsahau Jorowe, mtaasisi Obe himself katika muziki na gitaa
Asante mkuuHongera shem kwa 214k
![]()
![]()
![]()
Oooooh mr Good morningMorning family
Bhasiiiìi mkoshaneeeJamaa ananikosha sana huyu
Morning leeOooooh mr Good morning
Karibuu mkuu siku nyingiNime wamiss humu
Hope your doing well my brotherMorning lee
Huwezi kulalamika kabisaa na IPO nakwambia watu watachoka tuUnaongelea nini mkuu?
Binadamu ni kiumbe mtata sana. Ndiyo maana tukipata watu kama akina Nyerere, Gandhi, Dalai Lama na wengineo wa aina hiyo inabidi tushukuru Mungu sana.
Binafsi sina shida na tajiri aliyetajirika kwa juhudi zake. Nina shida na hii mijizi mifisadi mila rushwa ya Afrika ambayo hata ubinadamu haina. Wewe unauza madini ya nchi nzima unatajirika kupindukia halafu hawa masikini uliowanyakulia madini yao hawana hata aspirin mahospitalini wala uhakika wa mlo japo mmoja kwa siku. Hivi siku moja hawa masikini wakivuvumka na kukufisha utalalamika?
Zilikuwa bia za offer

Yo very right ma friend, how are you doin!Hope your doing well my brother
Itakuwa za Jana maana za Leo sidhani km zimekujaZa leo au jana ??
Duuuu......walijaaliwa uhai mrefu
Asante na ww mkuuTuwajibike vyema ....asanteni