Mi mwenyewe mlinzi. Haya tulinde wote sasa

Umelalaje mkuu?Yeaaaaah mmiliki wa shuny
Hawa ni wangu na binamu make yeye anafyatuaa tuu...D hayupo make mama ake sijui nikwambiejee

Kumbe na ww ulilinda?Nipo na wewe leo
Nilijaribu na nikaweza thanks shemeji nimeamka poaTulale wapi. Maisha haya kuna kulala basi. Mishe bado zinaendelea. Sema shem. Jaribu kulala ukiweza !
HV sahihi ni IPI?! Makanikia au makinikia?!nalijua hilo goma anko ha hahhahahaha.
Hivi kumbe uliendelea kubaki pale pale, nilimuona na yule teller ukiwa kwenye mkao wa kupokea ripoti ya tatu ya makanikia😀
MTU na binamu yake kwenye ubora wenuHa ha ha nilikuona unazunguka kama pia kule jikoni ila wewe kiboko yule mhudumu nasikia kaja jana unataka usajili wa namba E kabisaa. ..ila kumbuka hii vita sikuteteii make yule mhudum nayemtaniaga profesa wako kwa kuvaa miwan kidogo ashtukie ila nikampozaa
Mm bado nipo na usajili wangu mpya DXY ...CM namba nimedaiivet kwakoo
We ni mkongomani??!!Acha tu anko, kule kitchen ilikuwa shida, tutateta maana huu usajiri mwaka huu bila MO na Manji kuingilia lazima uwe na wake wanne mjombaangu si wa kispoti..
Turudi kwenye lile goma la Kolza Wangu baba! Lile kaimba Chezi Ntemba na Defau usimsahau na Suke Chile, nitalipandisha siku moja hapa
Binamu ule mkwara niliowachimbaa weee achaa hivi kwanza ile tai uliniokoteaa wapiii make lisinfekuwa koti lile lakoo sijuii make shsrt mikono mifupii na tai wap na wap
Sasa kale kanakofanana na mnyarwanda ndo nilikachukua maelezo ya kutosha ...
Ila yule uliyenituma nikuchekie uwezekano wa usajili wa mda ana mapengo nkatemana nae
