Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ha ha ha nilikuona unazunguka kama pia kule jikoni ila wewe kiboko yule mhudumu nasikia kaja jana unataka usajili wa namba E kabisaa. ..ila kumbuka hii vita sikuteteii make yule mhudum nayemtaniaga profesa wako kwa kuvaa miwan kidogo ashtukie ila nikampozaa

Mm bado nipo na usajili wangu mpya DXY ...CM namba nimedaiivet kwakoo

Acha tu anko, kule kitchen ilikuwa shida, tutateta maana huu usajiri mwaka huu bila MO na Manji kuingilia lazima uwe na wake wanne mjombaangu si wa kispoti..

Turudi kwenye lile goma la Kolza Wangu baba! Lile kaimba Chezi Ntemba na Defau usimsahau na Suke Chile, nitalipandisha siku moja hapa
 
Ha hahahahahaha!

Hivi wale madada wahamiaji haramu uliojitangaza kuwa wewe ni afisa wa uhamiaji hukufyatua nao kweli hawa watoto😀😀😀
Binamu ule mkwara niliowachimbaa weee achaa hivi kwanza ile tai uliniokoteaa wapiii make lisinfekuwa koti lile lakoo sijuii make shsrt mikono mifupii na tai wap na wap

Sasa kale kanakofanana na mnyarwanda ndo nilikachukua maelezo ya kutosha ...

Ila yule uliyenituma nikuchekie uwezekano wa usajili wa mda ana mapengo nkatemana nae
 
Acha tu anko, kule kitchen ilikuwa shida, tutateta maana huu usajiri mwaka huu bila MO na Manji kuingilia lazima uwe na wake wanne mjombaangu si wa kispoti..

Turudi kwenye lile goma la Kolza Wangu baba! Lile kaimba Chezi Ntemba na Defau usimsahau na Suke Chile, nitalipandisha siku moja hapa
Bhinamu fanyaga mppango ulidondoshee 1 day ...bia hiz et naandika kizungu na hapo ndo ntakupeleka chimbo lile la chin kwa mwenza wake CM
 
Binamu ule mkwara niliowachimbaa weee achaa hivi kwanza ile tai uliniokoteaa wapiii make lisinfekuwa koti lile lakoo sijuii make shsrt mikono mifupii na tai wap na wap

Sasa kale kanakofanana na mnyarwanda ndo nilikachukua maelezo ya kutosha ...

Ila yule uliyenituma nikuchekie uwezekano wa usajili wa mda ana mapengo nkatemana nae

Si unazijua hizi tai zetu sisi waMormon, ziko nyingi tu anok.

Ulifanya vizri kumtema yule bhana angekubemenda tu anko wangu
 
Bhinamu fanyaga mppango ulidondoshee 1 day ...bia hiz et naandika kizungu na hapo ndo ntakupeleka chimbo lile la chin kwa mwenza wake CM

Kesho si furahiday, litarushwa bila zengwe maana lina mikato si ya kitoto.

Sasa usinifanyie ubazazi kwa jirani yake CM, nilishajitangaza kuwa mimi ni padri mstaafu kwa hiyo wadhamini wengi tu asihofu aje tutubishane
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom