Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,277
- 35,633
Mzee wa saa mpya mzima?
Nipo mdau, ulipotezwa sana. Nipo tu mzee wa kumechisha
Mzee wa saa mpya mzima?
Ndo aloweka pichaObe ni nani kwa mfano
Atakuwa busy kuatafuta ugaliAsante dada shunie yuko wapi
Mkono wa Mmarekani huoDuuuuu miaka 36!!! Hatari
Niko hapaaa![]()
![]()
pedeshee Lee
Shukran Bitoz![]()
End
......
Amen....tubarikiwe sote2 WAFALME 6
16.Akamjibu, usiogope; maana walio pamoja nasi ni wengi kuliko wale walio pamoja nao.
FURAHI NDUGU NA HAKIKA USIOGOPE MAANA HAUKO PEKE YAKO MUNGU AKUTUNZE.. MCHANA MWEMA.. UBARIKIWE![]()
![]()
![]()
![]()
Karibu sanaHodi humu ndani
Dondosha mkuuROP TEN
Siku hizi nashusha vitu mapema tu maana wengine sijui segment zao zimekufa au ndo zugazuga tu....anyway siyo ishu labda majukumu yamebana
Huko Kibiti kuna "vita" kati ya serikali/Polisi dhidi ya wahalifu/magaidi ambayo imeteka hisia za watu na kudumu miezi sasa watu wakiuawa na kutekwa,
Inaonekana Polisi wameshindwa vita na sasa wamepelekwa wababe JWTZ ambao naamini kabisa watashinda vita kutokana na kuwa na nidhamu na weledi uliotukuka
.
.
Sasa lep tuangalie vita kumi zilizodumu kwa muda mrefu.....Naongelea vita haswa yaani ni mwendo wa makombora,risasi na mabomu tu
Hawa ndo wanaume ambao wapo tayari kulifia Taifa lao ili tu kulinda maslahi pamoja na usalama wa nchi
Karibuni
............
Ila binamu hiyo GIF uliyoweka kila nikifungua kapuku ndo inaonekana vitoto hivi vinachezaa jamanii
Dondosha mkuu
Hamna alie nificha ila majukumu ndo yalinifichaMi mzima tu,nani alikuficha?!
Wewe mbona mama ashura alikucharukia kuhusu bidhaa zakooNo,... ni orijinale kabisa anko
![]()