Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Hapo umedanganya enzi hizo wanawake walikuwa hawavai suruali![]()
Enzi zile lee na shuny
Hapo umedanganya enzi hizo wanawake walikuwa hawavai suruali![]()
Enzi zile lee na shuny
Huyu ndo unamwita mama nani vile
Geto kwako au ndo kwa baby yako![]()
Maisha yanasonga
![]()
![]()
Kwa hyu ndo aunt yko mwenyewe au cjaelewa
![]()
![]()
Mzee wa saa mpya mzima?Huyu sio aunt yangu, huyu ni teller wa vicoba bank and byurodichenji , alitembeaga na anko wangu lee empire
Kwani wewe humjui aunt yangu, yule wa ukweli acha hawa wa Kibiti
Mi mzima tu,nani alikuficha?!Husna mzima
Mimi huyo, hiyo suruali ni wakati sijapunguzwa kazi BoT nikahamia TrA ambako nako nilisitaafishwa kwa fagio la chuma. Sasa hivi nauza bidhaa za Forever Living. Kuna mteja? Si mnaona nilivyopungua

Bidhaa zako za kichinaMimi huyo, hiyo suruali ni wakati sijapunguzwa kazi BoT nikahamia TrA ambako nako nilisitaafishwa kwa fagio la chuma. Sasa hivi nauza bidhaa za Forever Living. Kuna mteja? Si mnaona nilivyopungua
We mbishi kama pilipiliHapo umedanganya enzi hizo wanawake walikuwa hawavai suruali
Kwa BitozGeto kwako au ndo kwa baby yako
Nitakupa usinyongee hivyo banaaOh, kumbe haya bhana
Asante kwa kushukuruDuh, nashindwa hata niseme nini ndo ujue haya maua nimeyapenda ba kuyafurahia sana. Asante sana Husna

Uachage utani mkuu, sa hapo umemaanisha nini?
Duuuuu miaka 36!!! Hatari3/The Guatemalan Civil War![]()
![]()
![]()
Mwaka 1954 Kanali Carlos Castillo Armas aliipindua serikali ya Guatemala akisaidiana na Marekani kupitia kitengo cha CIA
Mwaka 1960 Nakanali wengine wanafanya mapinduzi lakini wakashindwa
Sasa baada ta kushindwa ndo ikaanza vita ya wenyewe kwa wenyewe ambayo ilidumu hadi mwaka 1996 uliposainiwa mkataba wa amani baina ya waasi na serikali
Watu zaidi ya 200,000 walipoteza maisha
Vita ilidumu kwa miaka 36
.........