Makapuku Forum

Makapuku Forum

fe10402f8ca8ee57e3e2e7485fb1ef17.jpg


Binamu mtoko wako
Si kwa upana huo
 
10/Vietnam War
eaf1e4d71268417d831d451b37427445.jpg
0d1c9161e9eb6addbb2ed1165d0bca09.jpg

Ilikuwa vita kati ya Vietnam Kusini na Kaskazini
Vita ilianza Nov 01 1955 baada ya Marekani kuanza kutosa sapoti ya kijeshi kwa Vietnam Kusini ambao walikuwa wakipambana dhidi ya Ukomunisti na Kaskazini
Urusi na China nao wakasapoti Vietnam Kaskazini na vita ikawa kali na kupiganwa hadi 1975
Rais wa USA alikuwa ni John F Kennedy ambaye baadaye aliuawa na kurithiwa na Lyndon B Johnson ambaye aliendeleza gurudumu la vita
Mwisho wa siku April 30 1975 Vietnam Kusini na USA wakashindwa vita na hivyo Vietnam Kaskazini kuimegaKusini na kuunda The Socialist Republic of Vietnam
Vita iligharimu maisha ya watu Milioni 2.4
Ilidumu kwa miaka 19
.........
Watu wengi sana hao walipunch
 
3/The Guatemalan Civil War
a4367e102208dbabaa02897927bf7231.jpg
6c47d4b30079a41a278b96b1e1262c0c.jpg
307beb31474655a7e46994ce6cdaa84a.jpg

Mwaka 1954 Kanali Carlos Castillo Armas aliipindua serikali ya Guatemala akisaidiana na Marekani kupitia kitengo cha CIA
Mwaka 1960 Nakanali wengine wanafanya mapinduzi lakini wakashindwa
Sasa baada ya kushindwa ndo ikaanza vita ya wenyewe kwa wenyewe ambayo ilidumu hadi mwaka 1996 uliposainiwa mkataba wa amani baina ya waasi na serikali
Watu zaidi ya 200,000 walipoteza maisha
Vita ilidumu kwa miaka 36
.........
Bitoz unapiga kaz kubwa hapa ndani

Ubarikiwe mwanangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom