shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kumbe alikutesa hivi![]()
Enzi zile lee na shuny
Kumbe alikutesa hivi![]()
Enzi zile lee na shuny
Ila binamu hiyo GIF uliyoweka kila nikifungua kapuku ndo inaonekana vitoto hivi vinachezaa jamanii
havichokiij itabidi uvinunulie nguo za sikukuu maanaAisee9/The Great Northern War![]()
Hii ilikuwa ni vita baina ya Urusi chini ya Peter The Creat dhidi ya Swedish Empire chini ya Charles XII hapohapo pembeni walikuwepo Denmark,Poland,Uingereza,Norway na Ottoman Empire![]()
Watu 300,000 walipoteza maisha
Ilipigwa kati ya mwaka 1700 hadi 1721
Urusi enzi hizo Russian Empire alishinda vita na hatimaye kuwa Taifa/dola lenye nguvu duniani
Vita ilichukua miaka 21
........
OK sie tupoHamna alie nificha ila majukumu ndo yalinificha
Mama DHuyu ndo unamwita mama nani vile
Duh aisee6/The Peloponesian War.![]()
![]()
![]()
Ilikuwa ni vita baina ya Athens Empire dhidi ya Penoponesian League(Spartans) ambayo ilikuwa ni vita kali ya bahari ni na kusambaa hadi Uturuki pwani ya Mediterrania ilihusisha meli zaidi ya 150 kuzama nikiwa na mabaharia zaidi ya 3000
Athens walishindwa vita
Ilidumu kwa miaka 27 (431--404 BC)
......
Wewe mbona mama ashura alikucharukia kuhusu bidhaa zakoo
Ila binamu hiyo GIF uliyoweka kila nikifungua kapuku ndo inaonekana vitoto hivi vinachezaa jamanii
Mod wamevipendaDaaa Kupiga goti kwa demu sitoweza hata siku moja
Omba tu yasikutokeeDaaa Kupiga goti kwa demu sitoweza hata siku moja
Yule alitaka kukopa, nikamkopesha na masharti ni kuwa naye anipe kwa mkopo wa muda mrefu bila kugeuza mkataba. Akasaini mkataba na alipomaliza kutumia forevaliving, mkataba ukawa unaniruhusu kuchimba dhahabu kwa mkopo.
Ile charuka yake yote ni baada ya mimi kutaka kuchukua makanikia, si akacharuka eti hayako kwenye mkataba.

Miongo mitano si mchezo2/The Greco--Persian War![]()
![]()
![]()
Hii ilihusisha migogoro mitatu iliyopiganwa kwa miaka 50 lakini wana historia wameakisi zaidi mgogoro mmoja zaidi
Ilihusisha dola kibao zikiongozwa na Empire dhidi ya Persian Empire ambayo kipindi hili ilikuwa ndo himaya yenye nguvu zaidi duniani
Vita ilianza kwa Wagiriki kuishambulia miji kadhaa ambayo ilinyanganywa miongo kadhaa nyuma
Ugiriki akashinda vita.
Ilidumu miaka 50 {449--449 BC)
......
Yule alitaka kukopa, nikamkopesha na masharti ni kuwa naye anipe kwa mkopo wa muda mrefu bila kugeuza mkataba. Akasaini mkataba na alipomaliza kutumia forevaliving, mkataba ukawa unaniruhusu kuchimba dhahabu kwa mkopo.
Ile charuka yake yote ni baada ya mimi kutaka kuchukua makanikia, si akacharuka eti hayako kwenye mkataba.

Ulishawahi kupenda? Kama huwezi kufanya hivi basi utakuwa unapiga sana selfie au onesome
Muone mjomba angu hapo na CM
...sijaandika mimi hayo maneno uliyonukuu. simu yangu iliibiwa. sihusiki na hayo mambo ya juu
afu weweeAsante mkuuOK sie tupo