Mmh!Ha hahahhahahahah
Utakumbuka wapi wakati SS ulikuwaga unafata biskuti na bazoka tuuuu
Duuuh!Ingekuwa hatarii lakini uzuri wanajua wewe ndo uwa unanituma nipeleke ...na wote hawajang'amua pale kwa cheus nani Acacia nani Barricks ...
Namshukuru sana Mungu mzima karibu upo? Karibu sanaSafi Tu BlessedHope. Mimi mzima sijui wewe? Ubarikiwe pia
Yana mwisho!mzee wa mjini alichokifanya kwa seya ni uchawi tu! uwezi kuaribu future ya familia nzima kwasababu ya mchuchu! lakin haya bwaanah!
AsanteAmeeeeeeiiiiiiniiiii
I see, sijui inatengenezwa na nini, maana haya mambo kuna watu wameoza kucha