Makapuku Forum

Makapuku Forum

6dec6bbdaa5923b303026c8a60fa1531.jpg
Bitoooooozzzzz
924471db9ddfa1a428f12f583b883a13.jpg
 
Wanahakikisha pia kuwa mmegawika. Eti Anglophone Africa, Francophone Africa na Lusophone Africa. Ulishaona wapi bara linagawanywa kulingana na lugha za waliolitawala? Na wakazi wake wakakubali? Na mgawanyo huu hauishii hapa tu bali kiichumi, kitamaduni n.k. Divide and rule mpaka kesho na keshokutwa!
Makaburu huko Sauzi wakaanzisha Apartheid Policy na kutawala muda mrefu hadi pale Wasauzi walipokuja kushtuka wakati karibia nchi zote Afrika zilishapata Uhuru
.......
 
shemu unaogopa kuambiwa"gaddemuu"
Gaddemuu mbona cha mtoto? Makingereza magumu kama wakati ule tukisoma mkienda kushindana debate ili kuwashinda wapinzani wenu mnaanza kurusha maneno magumu ili wasiwaelewe hata kama nanyi pia hamuelewi.

Inabidi uwe na roho ngumu kama ya Le Mbururaz. Yeye hata umtukane vipi anakujibu kiutani tu...
 
Huwa Najitahidi saaana kukuelewa lakini hilo limeshindikana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom