Makapuku Forum

Makapuku Forum

Bitoooooozzzzz [emoji23][emoji23][emoji23]
924471db9ddfa1a428f12f583b883a13.jpg
Usijodanganye
Mimi Bitoz lakini sinyoi kiduku,kuvaa bangili wala kuvalia nguo matakoni
Nikiwa sehemu za kueleweka nachomekea kiutu uzima http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/9815d29711c1dcbdd7cd8245f452cc86
.......
 
Gaddemuu mbona cha mtoto? Makingereza magumu kama wakati ule tukisoma mkienda kushindana debate ili kuwashinda wapinzani wenu mnaanza kurusha maneno magumu ili wasiwaelewe hata kama nanyi pia hamuelewi.

Inabidi uwe na roho ngumu kama ya Le Mbururaz. Yeye hata umtukane vipi anakujibu kiutani tu...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106]
 
Back
Top Bottom