Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hamjui tu mnavyonipa maumivu humu, yaani mngekuwa mapera ningewauza sema sasa sijui nitapata wapi mbegu za mapera😀😀😀😀

Nawapenda sana makapuku wenzangu, sili nikashiba
[emoji134]

Bhinamu nimepita sehem wanakuulizia sijui ulikunywa hukulipa na cheusi wako analalamika umemzimia simu
 
Aaa wapi. Kubabaishana tu. Isitoshe huyu ni mke wa USA Baby kama sikosei. Ukimkorofisha mumewe akija mabomba ya kimombo (na lugha ya dharau) utakayopigwa hutakaa usahau maishani mwako [emoji23][emoji23][emoji23]. Usivione vyaelea shemu, watu wameunda!
Ha haa we acha kumkata mwenzio maini bana. USA baby ana wakwake sikuhizi
 
Siyo tu wabaya
Bali pia huungana kwenye suala la maslahi ....wakati Waafrika tupotupo tu km wanyamapori
.......
Wanahakikisha pia kuwa mmegawika. Eti Anglophone Africa, Francophone Africa na Lusophone Africa. Ulishaona wapi bara linagawanywa kulingana na lugha za waliolitawala? Na wakazi wake wakakubali? Na mgawanyo huu hauishii hapa tu bali kiichumi, kitamaduni n.k. Divide and rule mpaka kesho na keshokutwa!
 
Back
Top Bottom