Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
hahahhKo ndo mchomeko wa kiutu uzima
hahahhKo ndo mchomeko wa kiutu uzima
Wanahakikisha pia kuwa mmegawika. Eti Anglophone Africa, Francophone Africa na Lusophone Africa. Ulishaona wapi bara linagawanywa kulingana na lugha za waliolitawala? Na wakazi wake wakakubali? Na mgawanyo huu hauishii hapa tu bali kiichumi, kitamaduni n.k. Divide and rule mpaka kesho na keshokutwa!
Watu wanafikiri kuwa tozi sharti uvae nguo matakoni!!!Ko ndo mchomeko wa kiutu uzima
Tume zote mbili zimewaka wazi na mkulu naye kakiri kabisa kuwa hata hicho kidogo hatuupatiUna uhakika na hizi data zako. Simama katika ukweli nao utakuweka huru!
Wewe imani yako ni IPI?!Mimi bado mgumu kuamini ila naheshimu Imani za watu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
Wakongo matapeli
Wamezidiwa na Waghana na Wanigeria tu
Akitapeliwa atakemea pepo siku nzima
![]()
![]()
........
.
Sawa muzee ya KoromijeUna uhakika na hizi data zako. Simama katika ukweli nao utakuweka huru!
Huyo ni super natural powerWewe imani yako ni IPI?!

Kama vile umemdonndokea au macho yangu tu
Njia simpe wakati post umequote utaona kibox Julia sasa kina km kitick kiguse kinakuonesha namna uliyemquote alichofanya
Ila matozi huwa wanavaa kihuni mnoo, na zile style za nywele mie siwaangaliagi mara mbiliWatu wanafikiri kuwa tozi sharti uvae nguo matakoni!!!
Tangu shule ya msingi nachomekea
Ila napiga sana Shati/T.shirt + jeans & raba
Hata pensi napiga tu
.......
Wakati mwingine ili kuielewa mijadala ya hapa Makapuku inabidi ifuatilie ilikoanzia. Mara nyingi huwa nafanya hivyo kama nina interest na kitu au nafumba macho tu na kudandia treni kwa mbele liwalo na liwe. Na hapa Makapuku wengine hatuishii tu katika matani ya ushemela, ukoromije na upedeshee bali tunajaribu kuweka vihoja chokonozi chokonozi na tumada twa maana maana hivi ili kuendelea kuipa hadhi forum yetu hii tuipendayo.Huwa Najitahidi saaana kukuelewa lakini hilo limeshindikana
Ndo naniiiBobdon♂️
♂️
♂️
Macho yako tuuKama vile umemdonndokea au macho yangu tu
Hao ni Matoz malimbukeniIla matozi huwa wanavaa kihuni mnoo, na zile style za nywele mie siwaangaliagi mara mbili