Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hao ndo Wamarekani
Hata vita hupendelea kupigania kwenye ardhi za wenzao huku ardhi yao iking'aa bila kudondokewa hata na tone moja la damu
......


Huu ndo unaitwa uzalendo mdau, mijamaa yaani pamoja na tofauti zao za kivyama bado inasimama pamoja sana kwenye masuala ya uchumi na mipaka.

Wakiingia Republicans wao ninkukuza uchuki tu , utasikia tetesi za vita na blah blah kibao kumbe wao wanajitanua tu. Na hivi juzi wanaweka base jirani kabisa na Urusi ndo ujue Ulaya mashariki ikae chonjo in case Putin mbabe atajitoa fahamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom