Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
binamu achana nae banaKakuazima simu au anatumia data ya nyumbani kwenu!?
binamu achana nae banaKakuazima simu au anatumia data ya nyumbani kwenu!?
Great! Asante kwa maua, afu yananukia vizuri kweli, umeyapulizia gift of Zanzibar eeh

miss u jamaanShukrani Mkuu.
namuonaLinamo je, shemela shunie mwangalie shemeji yako Nyagei
sawa we changamkia fursaKanikimbia sijui yuko wapi kwa sasa?
Shukrani Mkuu.
Asante kwa kumi kubwa bitoz
Asante Bitoz
Pamoja sana wadauAsante mkuu nazidi kuelimika tu
kweli aisee nimekosea sana kumjibuUnaweza kukuta mtu mwenyewe hana nyuma wala mbele
Anafikiri kila mtu lazima ashinde ofisini tu.....wengine tunafuga mbuzi , wengine wamerithi mali hivyo hawhangaiki
Samtaimu watu km hao hawastahili hata kujibiwa!!!![]()
........
Namsubiria cuzo wako tusawa we changamkia fursa
Hawajui una Moyohivi binamu unataka kuniua nikikufwa weeeh ndio furaha yako si ndio Baba D naomba ukuje haraka
Hao ndo WamarekaniHawa jamaa wana karibu kila kitu vikiwemo mafuta, Uranium na madini mengine adimu. Tatizo lao ni kwamba hawataki kuchimba na hata kutumia ya kwao. Yao wanaweka akiba for the rainy day(s) huko mbele ya safari na kazi yao ni kuchukua ya wengine ikibidi kwa nguvu. Fort Knox kule nasikia wana dhahabu kibao na ndiyo hasa nguvu ya uchumi wao.
au binamu anajua me robot mke mweeHawajui una Moyo
Ndo hivyo mdauHapa kwa ulichoandika sijui hata niongeze nini? It's tu kusema kuwa mihimili mingine ukiacha ule wa Magu inaongozww na walamba viatu wasio na uwezo wa kujitambua wao binafsi
mmh si ulikua unachangamkia fursa cuzo nahis hana simu si kawaida hiiNamsubiria cuzo wako tu
![]()
leo hii
Jibu zuri sanaKakuazima simu au anatumia data ya nyumbani kwenu!?

Binamu heshima kwako...tulia usiharibie michakato yangu. Unafikiri akikusoma hapa so atajua ninasema kweli!?
binamu siamini ujue...tulia usiharibie michakato yangu. Unafikiri akikusoma hapa so atajua ninasema kweli!?