Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
hahahhhMimi nauliza hao wanaobishana
hahahhhMimi nauliza hao wanaobishana
nafanyaje Baba D na unazidi kunichekeshaMama D naona full kucheka
Asante mkuu..!Ni vizuri kuelimishana kuliko kushushuana
Km Lee anavyotupa darasa la kitabibu/kibailojia
.......
HahaaIla D kazidi
Namuona tuu anapita pita hapa hapa..kimyaaana me nimemmiss kweli
Kaah!Karibuni tukazie swaumu wakuu
Kwa boflo na chai ya nazi ndimu pembeni..

na me namuona usikute kakuta mmu huko umeweka kambiNamuona tuu anapita pita hapa hapa..kimyaaa
Ushemeji upo km kawaUwiiiiii! Just like that mtu kapigwa chini. Maweeeeee!
Sasa ina maana hata ushemeji wetu unakufa ama? Nipe mwongozo. Ndiyo maana jana Obe alianza figisu figisu. Now I get it...
![]()
![]()
nakupenda Baba D wangu Mungu azidi kukutunza azidi kuniwekea mie na D tu vyeusi mangala havina nafasi vikakufwe
Pole na asante kwa uungwana wa kuomba radhi. Ndiyo raha ya makapuku hii. Let's move forward now...I,mzeewakungoa,here under submit an official apology to my dada Shunie for inadequately questioning her marital status.I am highly aggrieved for those who may be hurt by my inappropriate behavior including my dada Shunie and Rafiki kipenz Lee and I promise that such behavior will be not repeated.
T vp tena..... Use soft language pls... Nobody is tapping up.Waambie una mtoto na lee bhana..
Waache ujinga wao
Ha ha ha ha ha ha ha... Muache Shunie banaTwende mi na wewe tukashuhudie..
Nisamehe mkuu kama nimekukwaza!T vp tena..... Use soft language pls... Nobody is tapping up.
Miaka miwili bado ananyonya?Hata wewe hujui rafiki yako ana mtoto, tena mkubwa tu miaka miwili
Weee tupiaT sitakiii matatizo utanitafutia me jamaan
Na mimi ndo furaha yangu wewe ukiwa happynafanyaje Baba D na unazidi kunichekesha
Mkuu unashangaa kunyonya ?? Yawezekana ata wewe bado unanyonya lakiniMiaka miwili bado ananyonya?
Nipo mimiau Baba D tukiact kuna mtu wa kutulipa jamaan