Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kumbuka mihimili mitatu ya dola(organs of the state) ni
1/Serikali/Rais/Mawaziri{Executive)
Kazi ya serikali ni kutoa huduma kwa wananchi,kujenga barabara n.k
Serikali pia inawajibika kuwalinda raia na mali zao

2/Bunge {Legislature)
Kazi yake ni kuisimamia serikali na kutunga sheria

3/Mahakamani(Judiciary)
Kazi yake ni kuzisimamia shera yaani kuhakikisha hali na usawa katika kuhukumu

Sasa basi....
*Rais hawezi kulishinikiza bunge wala wabunge maana anatenda kinyume cha katiba ingawa anaruhusiwa kulivunja bunge
Vitisho vyake kwa wabunge ni mipasho tu

*Rais anaweza kuzifuta sheria au kutosaini miswada ya sheria

*Wabunge wanaweza kumuondoa Rais kwa kupiga kura ya kutokuwa na Imani naye(vote of no confidence) lakini hawana ubavu wa kumzingua Rais kwa suala lolote

*Rais hawezi kuishinikiza mahakama ama Jaji Mkuu kufanya jambo fulani mfano "wafungeni mafisadi"

*Rais hawezi kumfuta kazi Jaji Mkuu wala Spika wa Bunge

*Jaji Mkuu anaweza kumfuta kazi Rais iwapo bunge limepiga kura ya kutokuwa na Imani naye

Hivyo basi unapotaka kuongelea makelele ya rais kwa bunge au sijui awaambie wabunge wabadili kinga ni kupoteza muda
Ujifunze kwanza kujua majukumu ya mihimili mitatu ya dola na mipaka yake

Tundu Lissu anaonekana kichwa sababu tu anajua sheria neno kwa neno na kesi zote anaisumbua serikali
Niwatakie siku njema
.........,
Asante kwa unafanyia murua kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom