Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kumbuka tu JK na Mkapa cheo chao ni Marais wastaafu siyo Mawaziri wadtaafu
Katiba inawalinda marais wastaafu
.........
Hii vita ni ngumu wapendwa. Wakiamua kufukua makaburi hakuna atakayebaki salama. Ila tukiipigana vizuri na kuweza kujitoa katika mamikataba haya ya kishetani, na tukaweza kuyatumia madini yetu haya kwa shughuli za kimaendeleo, tutaweza kupiga hatua za maana sana.
c5674ccd215c99d78adc22fd86a1613a.jpg
 
Kumbe shunie wa watu alibeba mtu miezi 9...

Kumbe shunie wa watu alikula udongo kwa miezi 9

Kumbe shunie alikuwwa anasikia kichefuchefu kwa miezi 9..

Kumbe shunie alienda clinic na mwisho akaenda labor...

Kumbe dada wa watu....

Wakukomeeee!
waniache aisee na Baba D wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom