Makapuku Forum

Makapuku Forum

sasa unazipendaje nyingii hivyo jaman 700 aisee sijawahi sikia hata kiunoni zote zinakaaje binamu

...yeye ana kiuno kipana so hata buku zinaweza kaa

a11.jpg
 
Mishumaa inafanana na maua, asante mpenzi, well sijui ni.mpenzi au mpendwa. Vyovyote vile nnakulike
Pole pole mkuu. Huyu ni shemeji yangu na mumewe alishajitangaza hapa kuwa ni mchawi tena mkuu wa kanda ya kichawi huko Kusini. Litakapokupata la kukupata usije ukasema kuwa hatukukuonya. Achana kabisa na shemeji yangu huyu...
 
msukuma acha kupanic bana mbona ya kawaida tu humu jaman
Sijapanick. Amesema ana hofu nikimtania naweza kuwakwaza wengine kupitia huo utani. Sasa tatizo liko wapi? Let's enjoy Makapuku yetu bana na mtu ukiona kuwa utani unazidi, unasema tu hivi unaeleweka na mambo yanasonga. We mwenyewe hapo kuna aina ya utani huwa hupendi mf. Siku ile shemeji alipokuanzishia thread kuleee. Unakumbuka?
 
Pole pole mkuu. Huyu ni shemeji yangu na mumewe alishajitangaza hapa kuwa ni mchawi tena mkuu wa kanda ya kichawi huko Kusini. Litakapokupata la kukupata usije ukasema kuwa hatukukuonya. Achana kabisa na shemeji yangu huyu...


Ha hahahahhaha, hatari sana. Ngoja nikae pembeni maana hata uchawi wenyewe siku hizi sina
 
USALAMA WA WATU WA MUNGU

ZABURI 125

1.Wanaomtegemea Mwenyezi Mungu wako kama mlima Sayuni ambao hautikisiki Bali wabaki imara daima.

2.Kama Yerusalemu inavyozungukwa na milima, ndivyo Mwenyezi Mungu awazungukavyo watu wake, tangu sasa na hata milele.

NAWATAKIA USIKU MWEMA, DAMU YA YESU IWAFUNIKE MBARIKIWE

Sent from my itel it1406 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu

Na huko wanatumia cyber crime law?
Hakuna uhuru usio na mipaka. Pamoja na uhuru wao kuna mambo huwezi kuyasema. Ukitishia kumuua mtu au useme eti unatengeneza bomu kwenye gheto lako muda hautapita FBI weshakugongea mlango...

Unaweza kutukana viongozi na kusema mambo unayotaka lakini huko mbele ya safari yaweza kukuumiza kwa sababu waajiri wengi na hata admission katika vyuo sasa wanafukunyua sana online profiles za applicants. Juzi juzi hapa Harvard imewatimua wanafunzi kadhaa wa mwaka wa kwanza waliokuwa na group lao wanapost mambo ya kibaguzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom