Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,278
- 35,633
aiseee nyingi hivyo si mauchafu binamu
Uchafu tena😱, nyingi zinaonesha ufundi uliotukuka na kutukuzwa
aiseee nyingi hivyo si mauchafu binamu
Usifukue makaburi bagheshiSijapanick. Amesema ana hofu nikimtania naweza kuwakwaza wengine kupitia huo utani. Sasa tatizo liko wapi? Let's enjoy Makapuku yetu bana na mtu ukiona kuwa utani unazidi, unasema tu hivi unaeleweka na mambo yanasonga. We mwenyewe hapo kuna aina ya utani huwa hupendi mf. Siku ile shemeji alipokuanzishia thread kuleee. Unakumbuka?
Mchawi siyo mimi. Mwenye mke ndiye!Weweeeeee......usije ukamtumia koboko?
Amen...!! UbarikiweUSALAMA WA WATU WA MUNGU
ZABURI 125
1.Wanaomtegemea Mwenyezi Mungu wako kama mlima Sayuni ambao hautikisiki Bali wabaki imara daima.
2.Kama Yerusalemu inavyozungukwa na milima, ndivyo Mwenyezi Mungu awazungukavyo watu wake, tangu sasa na hata milele.
NAWATAKIA USIKU MWEMA, DAMU YA YESU IWAFUNIKE MBARIKIWE![]()
![]()
![]()
![]()
Sent from my itel it1406 using JamiiForums mobile app
Nyie wasukuma kwa kufuga nyoka hamuwezekani
USALAMA WA WATU WA MUNGU
ZABURI 125
1.Wanaomtegemea Mwenyezi Mungu wako kama mlima Sayuni ambao hautikisiki Bali wabaki imara daima.
2.Kama Yerusalemu inavyozungukwa na milima, ndivyo Mwenyezi Mungu awazungukavyo watu wake, tangu sasa na hata milele.
NAWATAKIA USIKU MWEMA, DAMU YA YESU IWAFUNIKE MBARIKIWE![]()
![]()
![]()
Sent from my itel it1406 using JamiiForums mobile app
Ha hahahahhaha, hatari sana. Ngoja nikae pembeni maana hata uchawi wenyewe siku hizi sina

Here we go again...Asante dada.... Lakini mimi mwenzio wa Tanga... Plus lugha naijua ya nyumbani.... Sina maana mbaya.
♂️
♂️
♂️Hadithi tu. Kolomije na Gamboshi zote nimekaa sana na sijawahi kuona nyoka wa mauza uza. Ni wale wa kawaida mnagongana akiwa kwenye mishe zake unamuua basi mambo yanaisha. Matukio mengi ya uchawi mara nyingi ni hadithi zinazoenezwa na watu kwa kusudi maalum...Nyie wasukuma kwa kufuga nyoka hamuwezekani
Mimi pia za uzima T WA SakayoNimekumiss kinouma nouma..
Mzima kabisa namshukuru MunguMama mchuchu hujambo?
Hizi siyo shanga Shunie. Nadhani ni mzigo wa hirizi...aiseeee mwanaume na shanga kazi ipo
ni kweli mautani yaliyovuka mpaka siyapendi tena hayo ya thread za hovyo ndio sipendi kabisa mtu hakujui anakurupuka kukuanzishia thread ili iweje sababu tunachat jukwaaniSijapanick. Amesema ana hofu nikimtania naweza kuwakwaza wengine kupitia huo utani. Sasa tatizo liko wapi? Let's enjoy Makapuku yetu bana na mtu ukiona kuwa utani unazidi, unasema tu hivi unaeleweka na mambo yanasonga. We mwenyewe hapo kuna aina ya utani huwa hupendi mf. Siku ile shemeji alipokuanzishia thread kuleee. Unakumbuka?
kwan zaman binamu ulikuwa mchawiHa hahahahhaha, hatari sana. Ngoja nikae pembeni maana hata uchawi wenyewe siku hizi sina
sawa kaka uwe na amaniAsante dada.... Lakini mimi mwenzio wa Tanga... Plus lugha naijua ya nyumbani.... Sina maana mbaya.
USALAMA WA WATU WA MUNGU
ZABURI 125
1.Wanaomtegemea Mwenyezi Mungu wako kama mlima Sayuni ambao hautikisiki Bali wabaki imara daima.
2.Kama Yerusalemu inavyozungukwa na milima, ndivyo Mwenyezi Mungu awazungukavyo watu wake, tangu sasa na hata milele.
NAWATAKIA USIKU MWEMA, DAMU YA YESU IWAFUNIKE MBARIKIWE![]()
![]()
![]()
![]()
Sent from my itel it1406 using JamiiForums mobile app

Unaanza uchochezi.... Mtu asiongee na dadaake jamani... Hatari hii.Here we go again...♂️
♂️
♂️
Karibu sanaNme kua mtoro sana narudi nyumban mnipokee ndugu zangu