Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
aiseeeMuulize "kakako" Mzee wa Kung'oa akutafsrie. Yeye si alikuwa anatest zali kuona eti kama mimi ni Msukuma kweli...
aiseeeMuulize "kakako" Mzee wa Kung'oa akutafsrie. Yeye si alikuwa anatest zali kuona eti kama mimi ni Msukuma kweli...
binamu si mzima[emoji121] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
.....uyushi(nimemalizia apo)Basi wewe mtani wangu hamna neno.... Hofu yangu kupitia mgongo wangu usiwakwaze wengine bagheshi..... Ulihaya kinehe
Hapo sawa kabisaHmm..! haya Mr. Nyagei kama hivo au sio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mke mweeMbona hujashukuru kwa maua
Bhinamuu [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Anko wangu hawezi kutekwa yuko makini sana. Watekaji huwa hawatumii nguvu kumteka maana huwa anaenda kwao kujiteka. Juzi kajiteka kwa cheusi
Bhinamuu [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Anko wangu hawezi kutekwa yuko makini sana. Watekaji huwa hawatumii nguvu kumteka maana huwa anaenda kwao kujiteka. Juzi kajiteka kwa cheusi
Asante kiongozii kiongozii1/Peregrine Falcon![]()
![]()
![]()
Huyu ndiye mnyama wa angani(ndege) mwenye kasi zaidi duniani
Ana jeuri ya kukimbia/kupaa kwa Maili 200 kwa saa
Yaani spidi mara nne ya simba
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
..........
Najua uliitumia haswa na wewe ulitumika na kutumiwaaaNiko poa anko, si unajua tena weekend ilivyokuwa, nimekuja kustuka ni jtatu na hata magazeti sikusoma nikaishia kuyatolea macho tu. Vipi lakini wewe
poa peter upo kweli kitambo sana hata kwenye story sikuoni
Muziki na Urembo.
Ni jumatatu na ndiyo inaishiria, haijarishi unaimalizaje, tabasamu kwa sababu kesho ni siku nyingine tana Kapuku mwenzangu. Nilikumiss humu ndani.
Wikend yangu ilienda vizuri kiasi, Ijumaa na Jmosi zilikuwa sawa ila Jpili kuna jamaa ananidai, nilimkopa mavumba nikiahidi kumrudishia jtatu. Sasa tangu mornie hadi mawio simu hazikatiki, nikajiuliza, huyu si nilimwambia nitalipa jtatu, mbona anapapara wakati jtatu niliyomwambia sikumwambia ni ya tarehe ngapi. Yeye alidhani ni ya leo, kumbe huu mwaka una jtatu za kumwaga na hata 2018 kuna jumatau, hivyo awe mpole.
Kuna raha ya kudaiwa na pale unapomkwepa mdai wako kwa busara kama zangu basi unajipa nafasi nzuri ya kutokopeshwa wakati mwingine tena ukiwa na uhitaji. Ila huyu anayenidai ni ndugu yangu, usiniige mimi, utalost. Hongera kwetu tunaowapiga chenga wanaotudai. Yaani tuko kama ACACIA na makinikia.
Turudi kwenye muziki, madeni pembeni gitaa mkono wa kuume. Last wiki yaani wiki jana nilimpandisha Oliver Ngoma na wadau mlionekana kuvutiwa naye, asanteni. Baadaye nikaenda kujichimbia kidogo kuhusu huu muziki anaoucheza. Kifupi unaitwa Afro-Zouk.
Huu ulikuwa maarufu sana miaka ya 80 na 90s na ulienea zaidi toka katika visiwa vilivyokuwa chini ya Mfaransa na hata hapa Afrika muziki huu unachezwa zaidi katika nchi zinazoongea Kifaransa (Francophone) hususani Ivory Coast na majirani zake. Wao walitaka kuufanya kuwa na kasi fulani hivi ya ndombolo.
BTW, muziki na urembo na hapa tuelewane kabisa urembo sio kwa wanawake tu, hata wanaume tumeuboresha urembo tukauita utanashati na mimi kwa kuonekana smart ninavaa saa na kuchomeka ipasavyo huku ijumaa ni casuala na malapa sio ya kuogea lakini ni yale ya bei mbaya.
Tumwangalie Monique Seka, malkia wa Afro-zouk toka kwa kina Didier Drogba na alitamba na nyimbo kadhaa nzuri kama Misounwa, Baye na nyingine.
Binafsi naupenda sana Misounwa na ule alioimba na Meiway, utafute na unaweza kushara nasi bila kujali kama ulizaliwa miaka yangu ambapo shuleni tulikuwa tunahesabu namba na ukichelewa magoti yako yatakomaa kama ya mbuzi
Hadi wakati mwingine tena mdau wa nguvu unayetumia muda wako kuleta na kupokea maarifa humu Makapuku na zaidi sana, nakupenda sana
poa peter tutaonanaga mwayaNipo, muda tu unakuwa unabana lakini tupo pamoja shushu
Najua uliitumia haswa na wewe ulitumika na kutumiwaaa
Muwekee wamuoneeSio D bana mke mwee kwani D haujamuona Jana Baba ake alimuweka kwa avatar yake
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Haya ni maua au mishumaa?
Aseee Leo umenikosha kupita siku zote hiki kibao nakipenda tangu Niko mtoto mpaka Leo hii
Muongezee mauaAseee Leo umenikosha kupita siku zote hiki kibao nakipenda tangu Niko mtoto mpaka Leo hii
Mishumaa hiyo
Vipi lakin sijauliziwaaa make kuna niliyemuachaa na panchaTulitumikiana kama sio kutumikishana
Nyiee ndio mmeona kuwa Yale yy kaona mishumaa tuMuongezee maua