Makapuku Forum

TOP TEN
Baada ya kuchunga mbuzi nilijipumzisha chini ya mti na ghafla nasikia kwenye kiredio changu cha bdtri "mchanga wa madini,,mchangaaaa" basi wakati nasikiliza kumbe juu ya mti alikuwepo kunguru akaninyea hivyo nikachukua jiwe lakini akasepa kwa spidi kali hata kabla sijarusha jiwe
Hapo ndo likaja wazo la kuandika kuhusu wanyama wenye kasi hapa chini ya JUA

NB:
1Mile/hr = 1.609 km/hr
..................
 
Daby plz....
Yaishe mkuu
Kwani huyu ni the famous Daby wa MMU au ni avatar tu zimeingiliana? Daby wa MMU ni mcheshi na anapenda matani sana. Kama ni yeye basi he must be having a bad day.

Shemeji, umeshatimiza wajibu na uungwana wako unaonekana. Umeomba msamaha hii sijui mara ya saba sasa. Kama ni kusamehewa utasamehewa na kama ni kutosamehewa, hutasamehewa. Songa mbele...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…