Wazungu wapuuzi sana
Walipokuja Afrika pia walishangaa jinsi dada na mama zetu walivyojaaliwa makalio makubwa
Wakawachukua wanawake wawili au watatu wa Kisauzi akiwemo
Sarah Baartman ambaye alikuwa na makalio makubwa na uke wenye mashavu makubwa na kwenda kuwaweka Ulaya kwenye show room uchi wa mnyama ili kila mtu ajionee maumbile yao na kufaidj
Wametudhalilisha sana enzi za ukoloni
.
.
.
Ahsante kutuletea facts mdau
....