mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Hmmm.. No commentDadako huyo analazimishwa kupanda farasi. Pengine itabidi uende kutoa msaada kwa sababu mpandishaji mwenyewe huyu mhhhh...
Hmmm.. No commentDadako huyo analazimishwa kupanda farasi. Pengine itabidi uende kutoa msaada kwa sababu mpandishaji mwenyewe huyu mhhhh...
![]()
![]()
mpeleke na yy huwezi anaweza bahatika
![]()
![]()
Sijafikiaa hatua hiyoOh, ni picha. Pole kama haifunguki nadhani ni ni Itel unayotumia
shemela vipiiiii

Ila unga ulikuwepo ...pika chaikwa hela ipiiiii ni ile mia 9 au
ebu mwambie binamu yako ajueSijafikiaa hatua hiyo
kwa mkao huo anapuaje na hayo manyonyoPombe siyo supu ati! Naona mama wa watu kazimika. Ni laivu kutoka Koromije hii...![]()
Nipo shemejiSitaki wanawake wa mtandaoni mkuu. Kuna wakati we mwenyewe mpaka huwa nakuhurumia. Kupoteza muda tena kuhangaika na watongozaji sitaweza. Na watongozaji wengine wanakuja kwa shari kama yule jamaa wa leo aliyekuwa anamtaka Sakayo (Bobdon aka Ipogolo). Headache yote hiyo ya nini? Isitoshe Aganza mwenyewe hayuko siriazi sana na Makapuku.
In real life nilishawahi kukutana na binti hapa mwaka juzi tukapelekana mpaka kwa wazazi but things didn't work out. She is an exceptional lady na ameniachia athari nyingi chanya katika maisha yangu. Kwa sasa hapa ni kucheka tu na kutaniana basi...
Na Shedede hata akae huko aliko kwa makumi ya miaka atatukuta mi na shemeji tupo salama tu. Husna upo?
Nipo kweliiyaan baba d usikute upo huko
Weee cheka tu, nitaibuka na kitu cha hatari hadi BH akubali kuwa mke wa tatu, yaani aje ananililia, usicheze na mpango ninaoukamilisha soon.
Ila BH akinikubali tu, kwanza kabisa naokoka, halafu ninakuwa naye peke yake
mama mchuchu jaman mama angu ebu ukuje mara moja umsikie binamukwa mkao huo anapumuaje na hayo manyonyo
Weee waacheeWeee cheka tu, nitaibuka na kitu cha hatari hadi BH akubali kuwa mke wa tatu, yaani aje ananililia, usicheze na mpango ninaoukamilisha soon.
Ila BH akinikubali tu, kwanza kabisa naokoka, halafu ninakuwa naye peke yake
Uchochezi eeh... Haya... We Shedede kaa porini tuAcha uchochezi banaa
hatutaki jamanIla unga ulikuwepo ...pika chai
Eh..!! pole karibu msocNjaa tupu hku
unafanya nini huko kibamba malapaNipo kwelii
Wapiii pedesheee lee muntu ya peremendeebu mwambie binamu yako ajue
ShededeeeeeeeeeeAfadhali ulivyompa vipande vyake
hahaha pedeshee leeWapiii pedesheee lee muntu ya peremende