Makapuku Forum

Makapuku Forum

Unazitoa wapu hiz na zile nyingine i mdau
......

Huwa nagoogle funny pics gif, then unapata uption kadhaa.
Ninatumia laptop so sijawahi kujaribu kwa kutumia simu.

Navutiwa na vituko uswahili katuni, mchoraji ni yule jamaa wa nipashe KingO, ninazipata vipi?

luiz2.gif
 
Poa
.
.
Kuhusu katuni kuzipata ni shida maana wabongo hatuna utamaduni wa kutunza kumbukumbu/vitu/picha mtandaoni
Unaweza kugoogle tu lakini unaweza kuambulia 3 tu yaani hakuna sehemu ya uhakika ya kuzipata
Hivyo haitamaliza kiu yako utletea mambo mchanganyiko hata vichwa vya magazeti !!
......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom