Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Sioniipm yako
Sioniipm yako
KumbeeeAhahahaaa unajifanya umesahau ....
Lee camera mbovu![]()
![]()
![]()
Happy Born day Komredi!LEO KATIKA HISTORIA..
Ilikua siku ya Jumanne tarehe 10 June 199.. ambapo mwenyezi Mungu kupitia Tumbo la Mama yangu mzazi aliweza kunileta hapa duniani.
Namshukuru Mungu kwa kunilinda na Matatizo yote!!!
BLAZA & SISTA TODAYS ITS MY HAPPY BIRTHDAY.
na cheusi mangala pia au wenyewe tuBhasi kesho nakuja nae
aliniambia niniiiBhinamuu hukumbukii alikwambia nn
Sasa si nakusaidia ulinzi mbona unataka kunirukaNdo hapo ujiulize, yaani huwa anashukuru mimi kwenda kulala dada Jema, mchoma chapati ninayekwambiaga niliyekwambiaga huwa namkandakanda misuli
mkipikiwa pilau mwambie baba d anibebee binamu halaf nyama ziwe nyingi binamuUkiondoka acha funguo kwa mangi, naona mimi huku nitakaa sana, au nitalala kabisa, na niseme kweli. Nilichomoa hela kidogo, tumenunua nyama naona dalili za kupikiwa pilau hapa.
Akijibu nitag bhinamu..wewe huwa unaendaga kufanya nini?
wapi hukooTanesco wamekata umeme nilitaka niangalie mpira
binamu ninii hiyo mbona haifungukiii
Safii, utatunyima nin huko?Iko poa mkuu
na leo wallet haurudi nayo tuwekee basi story baba dBhinamu unanifanyia nini sasa mm ujue siwez kurud nyumban bila wallet ...niliacha mia 9 na hapa mama D ananiwakiaa
Wallet mbona sionii na unavonambia umetoa kidogo sikuelewiii kabisaa
Kwa hiyo mm mjinga ambaye huwa siendiikuangalia wanaotafuta waume na wake
sawa sawaSionii
kuangalia wanaotafuta waume na wake
mpeleke na yy huwezi anaweza bahatika

mmh baba DAkijibu nitag bhinamu
Mpaka jukwaa la wakubwa nasikia yupo
Acha uchochezi banaaShemeji shemeji..... Halafu siwaelewi mjue.... Huu ushemeji wa kuvaliana kanga moja!
mkipikiwa pilau mwambie baba d anibebee binamu halaf nyama ziwe nyingi binamu