Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shedede unatamani hasirudi ...mkuu mbona ata aganza anafaa
Sitaki wanawake wa mtandaoni mkuu. Kuna wakati we mwenyewe mpaka huwa nakuhurumia. Kupoteza muda tena kuhangaika na watongozaji sitaweza. Na watongozaji wengine wanakuja kwa shari kama yule jamaa wa leo aliyekuwa anamtaka Sakayo (Bobdon aka Ipogolo). Headache yote hiyo ya nini? Isitoshe Aganza mwenyewe hayuko siriazi sana na Makapuku.

In real life nilishawahi kukutana na binti hapa mwaka juzi tukapelekana mpaka kwa wazazi but things didn't work out. She is an exceptional lady na ameniachia athari nyingi chanya katika maisha yangu. Kwa sasa hapa ni kucheka tu na kutaniana basi...

Na Shedede hata akae huko aliko kwa makumi ya miaka atatukuta mi na shemeji tupo salama tu. Husna upo?
 
Sina cha kuongezeaa
 
Ha ha ha ha ha ha....
"una busara sana wewe"
 
Nakwenda shambani kulima jamani. Nitakuwa offline kwa masaa karibu sita hivi. Tukutane jioni jioni. Mzee wa Kung'oa, Lee and others. Enjoy your day guys...
Same to you na mimi baadaye ntaenda baharini... Lakini kwa sababu nyavu zetu ni za kutega mara moja moja naweza kupatikana... Siku njema bagheshi, Rafiki kipenz nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom