Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
BH yupo huko?
hivi haujakata tamaa tu binamu bh si ana mume aende huko kufanya nini
BH yupo huko?
hivi haujakata tamaa tu binamu bh si ana mume aende huko kufanya nini
pm yakoPm wapi
Bhasi kesho nakuja naehivi kila siku kwa binamu kuna ninii jamaan
hivi kila siku kwa binamu kuna ninii jamaan
Ahahahaaa unajifanya umesahau ....
Lee camera mbovu![]()
![]()
![]()
nilitumia tekno bila kupenda aisee usitukane mamba kabla haujavuka mto
BH yupo huko?
Iko poa mkuuWeekenda inaendaje??
![]()
![]()
hivi haujakata tamaa tu binamu bh si ana mume aende huko kufanya nini
Unaona sifa ??aisee tupo tofauti ila kuna siku nilichanganya heinken ya baridi na ya moto kichwa kilikua si changu
Tanesco wamekata umeme nilitaka niangalie mpirahujafanikiwa nini
![]()
![]()
nilitumia tekno bila kupenda aisee usitukane mamba kabla haujavuka mto
atatusamehe sio kwa msamaha huu nimeenda mpaka pm na nimechuniwa
mweeeDadako huyo analazimishwa kupanda farasi. Pengine itabidi uende kutoa msaada kwa sababu mpandishaji mwenyewe huyu mhhhh...Wewe bagheshi noma kweli kweli
Bhinamu unanifanyia nini sasa mm ujue siwez kurud nyumban bila wallet ...niliacha mia 9 na hapa mama D ananiwakiaaUkiondoka acha funguo kwa mangi, naona mimi huku nitakaa sana, au nitalala kabisa, na niseme kweli. Nilichomoa hela kidogo, tumenunua nyama naona dalili za kupikiwa pilau hapa.
kuangalia wanaotafuta waume na wake..wewe huwa unaendaga kufanya nini?
Tanesco wamekata umeme nilitaka niangalie mpira
halaf yeye anaenda kwa cheusi mangalaNdo hapo ujiulize, yaani huwa anashukuru mimi kwenda kulala dada Jema, mchoma chapati ninayekwambiaga niliyekwambiaga huwa namkandakanda misuli