Nakuona bagheshiAsante shemeji. Mzinga unaodondosha asali hurinwa hata na vipofu ati! Pamoja sana...
Ni aibu kwa mwanaume kumtongoza mke wa mtu mpaka anakushinda unabwaga manyanga na kuanza kumuita dada; na mumewe eti ndiyo anageuka na kuwa swahiba wako mkuu. Mtongozaji, mtongozwaji na mtongozewa wote majiganyanza katika hii ishu - something is not right.Shululu usimsaidie bagheshi kufukua makaburi.... Makaburi mengine hayafukuliki.
Hakuna reconciliation kwenye masuala ya ulaji wa tunda. Umtake mke wangu ushindwe ndo eti ufanye reconciliation!? Thubutuuuuu....We bagheshi wacha uchochezi.... Tumefanya reconciliation.
Mkuu nakupa vilivyoooo.....Ni aibu kwa mwanaume kumtongoza mke wa mtu mpaka anakushinda unabwaga manyanga na kuanza kumuita dada; na mumewe eti ndiyo anageuka na kuwa swahiba wako mkuu. Mtongozaji, mtongozwaji na mtongozewa wote majiganyanza katika hii ishu - something is not right.
Siyo mshabiki sana wa muvi. Sorry...Huyo ni Lupita Ny'ongo![]()
![]()
Au hujawahi kuiona hii muvi iliyojinyakulia hadi tunzo na yeye pia kupata tunzo?
.....
Hii mida yangu ya kujidai ....sasa timbwiri likianza ata saa 12 bado tutafikaa kweliHakuna reconciliation kwenye masuala ya ulaji wa tunda. Umtake mke wangu ushindwe ndo eti ufanye reconciliation!? Thubutuuuuu....
Umemgundua!?Love bob
Umeamkajeee kipenzi rafiki. ..Umemgundua!?
Hayaga namhala. Mzee wa kung'oa lakini umeshindwa kumng'oa ShunieNakuona bagheshi


. Mashikolomageni baba!!!