Makapuku Forum



Mdau Nyagei, kwanza kabisa asante kwa kuwa unapitia muziki unaopandishwa hapa Makapuku, ni jambo jema sana kushukuru.

Pili nimemuona hizo saa alizovaa huyu jamaa? Well, moja hiyo ya silver silver inafanana na yangu.

Turudi kwenye suala la msingi, nyimbo hii ya kwenye flash (shukuru haijaliwa na virus) ni nzuri na GB aliutendea vema wimbo huu ambao baada ya yeye kuurekodi waimbaji kibao na band ziliuimba pia. Siku moja nitakuja na GB na tutaungana pamoja kufurahia muziki hapa Makapuku
 
2/Sylvia Bongo Ondimba
Rais wa Gabon Omar Bongo alifariki mwaka 2009 akiwa na miaka 74
Alipendelea kujiita Rais wa maisha lakini kifo hakina adabu siku ya Mwisho akaiachia Ikulu na kwenda kuozea kaburini na kumuacha mkewe mpweke
Alikuwa alikuwa ni kiongozi tapelitapeli nafikiri jina lake la Bongo ndiyo chanzo cha Dar/Tz kuitwa Bongo kutokana na idadikubwa ya watu kuishi kitapeli na ujanjaujanja tu

Sylvia Ondimba ana umri wa miaka 54
.....
 
mambo ya saa ya mshale binamuuuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…