Makapuku Forum

Asante kwa nukuu mkuu
 
Asante mkuu kwa kuongeza nyama.

Jamaa alikuwa anapiga drugs za kufa mtu na alishakiri kuwa ni mojawapo ya kitu anachokipenda kuliko vitu vyote..

Hizo dawa za LSD huwa zinatumika sana kutengeneza mazingira ambayo sio halisi..

LSD (lysergic acid diethylamide) hutmika katima mind control na na mind alteration..

Hizi dawa zimetumika pia na CIA kwenye project yao ya MKULTRA ..

Sasa Jobs alikuwa anazipenda hataree..

Goodmorning Balozi Bitoz.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…