Makapuku Forum

Haiwezekani
Tatizo ni Kwamba hatuna trust na hawa jamaa, lakini wanafanya kazi kuliko tunavyofikiria sisi
Narudia tena
Polisi wa bara sio kama wa huku visiwani!!!

Leo nimeshuhudia trafik akikolomewa na dereva na kutukanwa juu wakat dereva aliambiwa tu arudishe gari nyuma kwenye foleni..
Na hakuchukuliwa hatua yoyote
 
Hukuchukua video kidogo....

Halafu kumbe ni police wa Zanzibar hapo kidoooogo naweza kukuelewa
 
Hakika
 
Hukuchukua video kidogo....

Halafu kumbe ni police wa Zanzibar hapo kidoooogo naweza kukuelewa
Sasa ww ulizani nasema wa wap hao?

Yaañ shida tupu na mahospitali japo huduma zote ni sh 200 lkn hata light microscope au hand lense hawana
 
"Hoja ni hoja pale inapoeleweka" Nimeipenda asante Obe
 
Well said
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…