Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Safi kabisaaKwa Mahitaji yako ya Mashine za Risiti za Kielektroniki/ Electronic Fiscal Devices, EFD wasiliana nami. kilimanjaro, Arusha Na Manyara
Safi kabisaaKwa Mahitaji yako ya Mashine za Risiti za Kielektroniki/ Electronic Fiscal Devices, EFD wasiliana nami. kilimanjaro, Arusha Na Manyara
Njema kabisa mkuu!Salama mkuu.
Habari ya wewe!
Hata sijakuelewa etiHahaha mkuu,mkuunanaonaumebahatika kuitakuitaIJAMBILOmakamkuu

Shida wanaposoma neno makapuku forum wanaelewa vibaya, wanaona ni muunganiko wa watu choka mbaaya ndio maana wanajikuta wanagonga ukuta na kupoteaKwahiyo????
Hahahaa... itabidi urudi kuwa baba Paroko hakuna namna.Nilivaa uhusika kwenye tamthilia ya makapuku, ili kuongeza posts na likes, tangu niiache posts na likes zimepungua
Kumbe leo ni sikukuu?? Heri na kwako piaHeri ya sikukuu wapendwa!
Hahaa... Agape Television.
Tamka jambilo x5 utaelewa tu mkuu usiogopeHata sijakuelewa eti![]()
![]()
Kazi njema boss.Kwaheri nitarudi mida ya lunch
Wewe ukiwa mmojawapoAmbao hawajaoa ndio utawakuta asubuhi subuhi wapo kwenye huu uzi..
jambiloTamka jambilo x5 utaelewa tu mkuu usiogope
Hapa au kile?Njoo nikupatie ujumbe wako
Ni nzuri, vipi wewe braza!Habari za muungano wakuu?
ValentinaWewe ukiwa mmojawapo
Bongo ukiigiza uhusika tata watu wanakuchulia ndivyo ulivyo na utazomewa mtaani.Hahahaa... itabidi urudi kuwa baba Paroko hakuna namna.
Hahaha bila shaka umepona sasajambilo
jambilo
jambilo
jambilo
jambilo
jambilo
jambilo
jambilo
jambilo
jambilo
Pilau litakuwepo? maana leo ni sikukuuKumbe leo ni sikukuu?? Heri na kwako pia