Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Kule...Hapa au kile?
Kule...Hapa au kile?
Shida yangu huo mzigo au furushi la bangi mkuu..hahaha jokesNimepata kanafasi kidogo nimeona nipitie humu niwasalimie ndg zangu sio mbaya KUMEKUCHA WAJAMENI
Abee kaka TValentina
Mmmmmh wala sijapona etiHahaha bila shaka umepona sasa
Na kwako pia kaka.Heri ya sikukuu wapendwa!
kulikoni tena.jambilo
jambilo
jambilo
jambilo
jambilo
Usiamkie mchawi wewe utakuwa bubumchana jr
Shikamo kaka
Hahahaa....Mkuu naona leo umenikomalia.
Dada mzima?Kule...
Habari za asubuhi Dada yangu kipenzi ValentinaAbee kaka T
Pilau litakuwepo? maana leo ni sikukuu
Katumwa na mshana jr atamke x5kulikoni tena.
Hahaha duh [emoji125] [emoji125] [emoji125]Usiamkie mchawi wewe utakuwa bubu
Asante.Wewe ukiwa mmojawapo
Paroko ni jipuparoko umetisha.
Nilikuwa sijui kama ni ke.Mmmmm kivipi? Si alisemaga mwenyewe jinsia yake kuwa ni Ke??