Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Nilivaa uhusika kwenye tamthilia ya makapuku, ili kuongeza posts na likes, tangu niiache posts na likes zimepunguaAmewahi kuwa baba Paroko fake kwa Makapuku.
Nilivaa uhusika kwenye tamthilia ya makapuku, ili kuongeza posts na likes, tangu niiache posts na likes zimepunguaAmewahi kuwa baba Paroko fake kwa Makapuku.
Kweli kabsa boss.Usiniite paroko..mwanahalisi atanitengenezea zengwe cc malasusa
Atafute mwenyewe, ili wakipigana asikulaumu
Hahaha jamaa alishapata huduma na sasa ni mzima huoni amekuwa kibega?Huyu jamaa usikubali akuombee ni fake pastor.
poa boss, nambie.?Poa.
Habari ya wewe mkuu.
Hapana bali nimefunhisha ndoa nyingi hapammh mimi nilifikiri ushakuwa kama Malasusa
Mimi nimesema tu na wala simtafutii?Atafute mwenyewe, ili wakipigana asikulaumu
youngblood hana mke wewee.Hapana bali nimefunhisha ndoa nyingi hapa
Cc th name
Emmyguy
Youngblood
Manuu
Tatizo hawataki niwasalimie ke zao wanaona wivu c wajua maparoko sauti naaneno mataam
hahaaha ni ugomvi huu boss.Mkuu mkasa uliopo niliombea wagonjwa na wenye pepo wakapona naona baadhi ya mawakala wa yule jamaa wa kisambaa(shetani) walichukia
Manuu hana shida tena alisema akiwa mbali ni ku hug na nikupe kiss zito badala yake
Pamoja sana Mkuu.Ahsante
Uwe na siku njema kaka.Mkuu niko poa sana
......Napita Tu
... Bye
Muungano gn tena!Habari za muungano wakuu?
paroko umetisha.Manuu hana shida tena alisa akiwa mbali ni ku hug na nikupe kiss zito badala yake