Makapuku Forum

Makapuku Forum

Usitie shaka hakuna uwaribifu unaoweza tokea baiana ya kaka na dada labda upenda wa Agape tu....Kuna jamaa yeye alipewa kilikuwa kimzizi anakitafuna akikutana na msichana aliempenda anakitafuna chochote anachokueleza huruki hata kama ulikuwa unaenda church utageuza umfuate aendapo na mkishamaliza tu tendo pendwa ndo fahamu zako zinakurudia ila too late..
Natumai ameshatangulia mbele ya haki sasa May he R I P
 
Mkuu haujakutana na khadia za ubaguzi wa majukwaa flani ndio maana unadhani humu wote ni sawa, ila kiukweli we are not, there are two blocks ambazo ziko ktk battle ya chini kwa chini, chunguza vizuri utajua.
mkuu, mimi sikubaliani na maoni yenu haya kwa 100%. hakuna ubaguzi kihivyo humu jf ila kuna ubaguzi wa mtu mmoja mmoja kumbagua mwenzake hapa na pale na hilo jambo huwa halikosekani katika jamii yeyote ile.
 
Back
Top Bottom