Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahaha jambilo bhana
Burudan tu mkuu hapa ndo maskani/kijiweni kwetu mkuu, twajimwaga, kautani kidogo nk.
Ukichukia pole but tuko peace sana, warembo wakali wametulia, hawana mapepe ni wewe tu mkuu,,,karibu saaanaaa twapendana wote balaa.
Cc
Youngblood
Jimen
Bitoz
Musolin 5
Manuu
Patience123
Lizzie
Emmyguy
Aggy
Nahrene
Mshana mchawi
Sumbai
Eden
Mandelaa
Ameizing
Pchoka
Na wakuu bibao
See you baadae
 
Mbona mimi hujani cc mkuu jambilo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom