EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Mi niko powa sana, siku yangu ni nzuri.Ni njema boss, vp ww.?
Mi niko powa sana, siku yangu ni nzuri.Ni njema boss, vp ww.?
Dogo kutongoza hawezi .
Sio muungano labda gengeWa Tanzania na Zimbabwe.
![]()
![]()
![]()
Mkuu naona leo umenikomalia.youngblood hana mke wewee.
Ohooo anaye but sh hataki kujulikanayoungblood hana mke wewee.
Muungano wa Makapuku mkuuMuungano gn tena!
Mmmmm kivipi? Si alisemaga mwenyewe jinsia yake kuwa ni Ke??Unataka kuniambia damtanzania ni Ommy Dimpoz kama alivyo peterchoka?
Njema mkuu...za kwakoHeri ya sikukuu wapendwa!
Salama mkuu.Heri ya sikukuu wapendwa!
Kwema lakini mkuu jambiloEndelea kuisoma namba tu
Cc
T1990ely
There you areMuungano wa Makapuku mkuu
Kwani nimesema naweza??Dogo kutongoza hawezi .
Hahaha mkuu,mkuu naona umebahatika kutamka jina JAMBILOmakamkuuKwema lakini mkuu jambilo
Aisee.Kwani nimesema naweza??
Kwahiyo????mkuu, mimi sikubaliani na maoni yenu haya kwa 100%. hakuna ubaguzi kihivyo humu jf ila kuna ubaguzi wa mtu mmoja mmoja kumbagua mwenzake hapa na pale na hilo jambo huwa halikosekani katika jamii yeyote ile.
100Njema mkuu...za kwako