tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,956
- 25,341
kilimo cha nyanya mkuu.Mkuu wewe unajishughulisha na mambo gani haasa?? Kiuchumi
kilimo cha nyanya mkuu.Mkuu wewe unajishughulisha na mambo gani haasa?? Kiuchumi
We mgeni hujui. ...hujawah experience Hiyo kitu.mkuu, mimi sikubaliani na maoni yenu haya kwa 100%. hakuna ubaguzi kihivyo humu jf ila kuna ubaguzi wa mtu mmoja mmoja kumbagua mwenzake hapa na pale na hilo jambo huwa halikosekani katika jamii yeyote ile.
Vizuri mkuu.kilimo cha nyanya mkuu.
Makubaliano yapi tena hayo.Mkuu mbona unavunja makubaliano yetu..!
Kweli kabisa.Vizuri mkuu.
Ungeanza kutupa ABC ya hayo mambo. Kuhusu soko ,uzalishaj kwa ujumla na mengineyo.
Maaana wengine hapa ni office worker...tuu
Tupe fursa mkuuu
Ishia huko wewe...Tulikubaliana tupeane zamu sasa nashangaa jamaa anakataa.
Unataka kuniambia damtanzania ni Ommy Dimpoz kama alivyo peterchoka?Pole sana maana hao wote ni kaka zangu na damtanzania ni ke
Hhahaha.Ishia huko wewe...
kupendana ndo code ya makapukuNdio kinacho fuata....umejuaje
Ndo na mimi najua leo.Damtanzania ni kifupi cha Dada Mtanzania ...umejichanganya
....................
Usiniite paroko..mwanahalisi atanitengenezea zengwe cc malasusaParoko.... Jambilo
Heee... Wapi tena hiyo braza?
Mtaambukizana kipindux2Tulikubaliana tupeane zamu sasa nashangaa jamaa anakataa.
Ni nzuri Mkuu, habari ya mapumziko?habari zenu wadau.
Bora umenisaidia maana huyu jamaa anajitafutia magonjwa bure.Mtaambukizana kipindux2