Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Emmyguy mambo vp kijana!Ni nzuri Mkuu, habari ya mapumziko?
Emmyguy mambo vp kijana!Ni nzuri Mkuu, habari ya mapumziko?
Mkuu jambilo una mkasa gani maana naona watu wanakutetaUsiniite paroko..mwanahalisi atanitengenezea zengwe cc malasusa
Anajitafutia au anakutafutia weweBora umenisaidia maana huyu jamaa anajitafutia magonjwa bure.
Damtanzania ni SHEUnataka kuniambia damtanzania ni Ommy Dimpoz kama alivyo peterchoka?
Fursa za ulimaji wa nyanya zikoje Mkuu, hebu tupe angalau maelezo kidogo.kilimo cha nyanya mkuu.
Poa.habari zenu wada.
Kumekucha na Makucha yake Mkuu.Nimepata kanafasi kidogo nimeona nipitie humu niwasalimie ndg zangu sio mbaya KUMEKUCHA WAJAMENI
Mkuu mkasa uliopo niliombea wagonjwa na wenye pepo wakapona naona baadhi ya mawakala wa yule jamaa wa kisambaa(shetani) walichukiaMkuu jambilo una mkasa gani maana naona watu wanakuteta
Mkuu hebu tua huo mzigo, pole sanaMkuu jambilo una mkasa gani maana naona watu wanakuteta
Huyu jamaa usikubali akuombee ni fake pastor.Mkuu jambilo una mkasa gani maana naona watu wanakuteta
mmh mimi nilifikiri ushakuwa kama MalasusaMkuu mkasa uliopo niliombea wagonjwa na wenye pepo wakapona naona baadhi ya mawakala wa yule jamaa wa kisambaa(shetani) walichukia
Safi kaka, habari ya wewe?Emmyguy mambo vp kijana!
AhsanteKumekucha na Makucha yake Mkuu.
Karibu.
Amewahi kuwa baba Paroko fake kwa Makapuku.Mkuu jambilo una mkasa gani maana naona watu wanakuteta
Mkuu niko poa sanaSafi kaka, habari ya wewe?
Pamoja sana Mkuu.Ahsante
Ni njema boss, vp ww.?Ni nzuri Mkuu, habari ya mapumziko?