Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mnatutafutaa maneno![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
, yani pamoja na msaada wa mpwa (Mr. Lee) bado hata jitihada za kupewa yale maua ya plastic imekuwa ngumu. Kweli mapenzi kizungu zungu.

Xhaba dadakaka shikamoo
Sawa lee endelea kula ubuyu na shuniiKwemaa kabiisaa
Bhinamu ila ukakasi kawaza nin??
Muziki na Maua
Ni usiku mwingine tena Makapuku, yeah, it's almost furahiday TG. Najua wengi wetu tumekuwa na wakati mzuri siku ya leo. kuna mengi yamepita, tumefanya na mengi yanakuja. Ndo maisha.
Nadhani sijawahi kusema humu, siku moja kabla ya Ijumaa huwa nashtua na kaglass kamoja ili kujiandaa na friday (suala la kama nimefunga au sijafunga sio la kwako). Uzuri wa mnywaji huwa hachagui siku ya kunywa, unakunywa unapojisikia, siku yoyote, mfano, jtatu anakunywa kwa sababu ni siku ya kwanza kurudi kazini, jnne anakunywa kwa sababu juzi ya jana ya juzi ilikuwa jumamosi, jtano anakunywa kwa sababu ni siku ya kuburudisha mwili. Hongera sana kwa walevi na wanywaji wote, ninyi mnachangia karibu asilimia 98 ya bajeti, madini yanachangia 0.0007% na wachangiaji wengine wanamalizia asimilia zilizobaki.
Inabidi tuzidishe maombi ili wanywaji waongezeke serikali iendelee kupata mapato mengi zaidi. Na zaidi, serikali ikitaka kuongeza mapato zaidi basi waende makanisani maana huko kuna wanywaji wengi sana eti wanakunywa divai/mvinyo. Hapa Kazi Tu
Leo, sina sababu sana ya kuangalia utamu wa gitaa lakini kuna midundo fulani hivi ya kisouth ukiisikia lazima masikio yako yatabasamu, ndo ubinadamu huo, kila kiuongo huwa kinatabasamu labda hujajua tu (ndo faida ya kusoma twisheni, unafundishwa masomo ya ziada). Na leo tunaenda South Africa.
Keshatengeneza nyimbo nyingi sana za Brenda Fasie na keshawahi kuwa meneja wake, unajua namuongelea nani leo? Ewaaa, tulia kama naibu spika akiongea na wabunge wa upinzani. Tunamwangalia nguli amabye ana tuzo ya maisha katika tasnia ya muziki aliyopewa huko nchini kwake SA- kwa mzee wa ASS -After Sex, Shower. Uliwaza nini?
Anaitwa Sello Chicco Twala almaarufu Chicco Twala. na nyimbo nyingi tu maarufu kama Papa stop the war na We miss you Manelo (Mandela) nk
Tumwangalie hapa na kibao chake I need some money yooo and kesho ni furahiiiiiiiiiday. Take it easy
Habari yako mamchuchuAmen
😵 😵 😵 😵 😵Haya mabusu lazima mama mchuchu anayaone yalipoelekezwa na kurahisisha ngoja niweke na GPS
BlessedHope
Ndio tunakulanaaaaSawa lee endelea kula ubuyu na shunii
ila nipo kote koteHatukuaminii
Leo umeamuaa unikachee ...najua leo hauna cheusiiMjomba, watu huwa wanajiwazia tu na wako sahihi
Koh Koh!!!Mkuu nikikosa humu JF iwe shut down.![]()
![]()
![]()
, sema kuna kipindi inabidi nakuwa msomaji na kuangilia wanaomnyemelea Mchungaji the BlessedHope of my everything.

Nimejifunza kuzoea sasamzee wa kutekwa
Mkuu sorry ..nimetumwaa
Eti etii lakin .mukongo aka baba mchungaji acha kumsumbua mama mchungaji

Kwendaaa zakoooila nipo kote kote