Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Asante.
Hii baridi ni balaa shemeji!
Asante.
Poa sana shemeji tumeamka na baridi kali sana inayofanya mtu utafute wapi supu ya ulimi ilipo na ndizi kama 2 hivi...Wewe vp lakin?Poa shemeji.
Uko poa lakini?
Sawa mummy wangu, takecare youngblood kaja. Sitaki akuite sweatheart tena.yap honey ...
Kijana naona leo umeamka na kulialia.Ndo maana huwa nakupenda sana baby wangu.
sawa honey..BaadaeSawa mummy wangu, takecare youngblood kaja. Sitaki akuite sweatheart tena.
Niko poa kabisa shemeji.Poa sana shemeji tumeamka na baridi kali sana inayofanya mtu utafute wapi supu ya ulimi ilipo na ndizi kama 2 hivi...Wewe vp lakin?
Mkuu mbona unavunja makubaliano yetu..!Sawa mummy wangu, takecare youngblood kaja. Sitaki akuite sweatheart tena.
The system, itself
Nunua swetaAsante.
Hii baridi ni balaa shemeji!
Sweta!!Nunua sweta
Morning SumbaiGood morning ol
Hahaha supu ya ulimi, ili uwe na maneno matamu eeePoa sana shemeji tumeamka na baridi kali sana inayofanya mtu utafute wapi supu ya ulimi ilipo na ndizi kama 2 hivi...Wewe vp lakin?
Yes usitembee bila kuvaa swetaSweta!!
Aggyjay nakuona ktk ubora wakosawa honey..Baadae
Mmepeana zamu!Mkuu mbona unavunja makubaliano yetu..!
Paroko.... JambiloAggyjay nakuona ktk ubora wako