Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Hakuna sheria wala kanuni yoyoteKama sheria ni ku-qoute nitakuwa najitahid
Ila tu hatupendi kelele maana hazina tija wala faida
.........
Hakuna sheria wala kanuni yoyoteKama sheria ni ku-qoute nitakuwa najitahid
Toa like upate likeSawa baba![]()
![]()
Nawe pia papaaHallelujaaah..... Bwana Yesu asifiwe.....nawatakia siku njema.
Siti za kumwaga... Ni wewe tu na roho yako.Hodiiiiiiiii
Naombeni seat m Mgeni ukapukuni
KaribuuuuuuHodiiiiiiiii
Naombeni seat m Mgeni ukapukuni
Haya chati na mmTatizo la chit chat hii ni kujuana
Nikopoa mdau hope nimewaelewAaUtapimwaa na wewe
Uko poa lakin
Karibuu chama huru mzee baba ....umeoa lakini ??Nikopoa mdau hope nimewaelewAa
Nakumis ujueeHaya chati na mm
Thread ya makapuku haijawahi kumwacha kapuku salama,lazima upatwe na ugonjwa wa kuperuzi huu uzi mara kwa mara

77 hujambo kkMzee baba member tunatengana jukwaani![]()
![]()
Nshatua mnyama sema nimekutana na I'd mpya nyingi uku ni kama nchi nyingineSiti za kumwaga... Ni wewe tu na roho yako.
Na wewe si utengane?
![]()
![]()
![]()
Tatizo mnapenda kushobokewa
Humu hashobokewi mtu
Km mtu anapapenda ni jukumu lake mwenyewe kujichanganya na siyo blah blah
Mfano hujamquote mtu yoyote halafu ukakaushiwa ila kelele nyingi
.......
makavu live
Ushaanzaaa77 hujambo kk
Wifi Anasemaj
77 hujambo kk
Wifi Anasemaj
Nshatua mnyama sema nimekutana na I'd mpya nyingi uku ni kama nchi nyingine
Mi nnavyoogopa kukpa loh!