Makapuku Forum

Makapuku Forum

mmh lini ulimpigisha sound mama mchuchu anaempigisha sound mpaka sasa binamu obe nae ameweka siraha chini ameamua amuachie mukongo wake
I thought you gonna be my witness, ila naona kuna kila dalili ya kuachwa solemba. Siku niliyomwagia sifa zote za uumbaji wa mwenyezi Mungu juu ya hekalu la mwili wake? Au ndio kusahau vile lege anawapoteza.?
 
I though you gonna be my witness, ila naona kuna kila dalili ya kuachwa solemba. Siku niliyomwagia sifa zote za uumbaji wa mwenyezi Mungu juu ya hekalu la mwili wake? Au ndio kusahau vile lege anawapoteza.?
denoo hahha ebu acha kumzungumzia lege usitukumbushe machungu ujue jana nilivyoona notification zake nikajua anaweka mke mwee unamuona denoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom