Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shukrani, nimeona na kuipitia mwanzo hadi page ya sasa hivi.
Nimejifunza kimoja tu, wakati mwanzisha uzi anataka kujua kuhusu hapa, wachangiaji wengi (ukiondoa member wa huku) hawajui wanachangia nini na wanaishia kulalamika kuwa sisi tunalalamika tu.
Mlalamikaji anayelalamikiwa.

Wanaamini 'likes' ni za bwerere tu huku na ukija mgeni unapewa mke (sic) mimi niko hapa hata mchumba tu sijapata na ni leo tu nimekataliwa kwa tangazo kama la msikitini.

Ninajisikia vizuri kuwa hapa.

SN (serious note na sio sexual and nudity) huku wapo waungwana , wasomi (msomi ni nani? Siku nyingine tena) ambako tunaamini hakuna hoja ya kijinga, tunajifunza mengi na si kujua mengi.

Hatuhitaji kujitetea kwa awaye yeyote, hatuna sababu ya kufanya hivyo. JF ni kubwa sana na Makapuku forum ni sehemu ya JF.
 
Humu hadi Paw pamemkosha na kucomment jana LIVE babake

Pia moderator wa jukwaa hili anaingiaga anaitwa Bridger na keshawahi kucomment na hata kunipa ushauri PM

Hao wapuuzi wachache wasiwaumize kichwa
Hulka ya binadamu ni unafiki na wivu tu...
km "hawaingiiagi humu" wanayajuaje ya huku
Unafiki
.......
 
2/Lungfish
610beb66cc75e614ad5acb46f127a57a.jpg
7df4a0f996fb82d8de994d5fd974f04d.jpg

Hawa ni aina ya samaki wawindaji Waziri
Hula vyura,konokono ,kuwala samaki wadogo(utamaduni wa samaki wote mkubwa ummeza mdogo) na viumbe wadogowadogo
Wanaweza kukaa bila kula kwa miaka 4
........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom