KhaaassNashukuru sana ndugu yangu kwa kunielewa hata mimi nitamweleza wife amaizing..My wife unajua kabisa ndugu yako youngblood yuko kwenye hard tym tangu mpenzi wake Nahrene apotelee pasipo julikana sasa kwenye kipindi hiki akiwa mpweke usisite kuwa unampa Company kama kaka tu na isivuke mipaka hata kama nikwenda naye disco mi sintojali na ukirudi usiku wa manane ntakufungulia mlango tu..
Hapana ndugu yangu unajua huu ndiyo wakati mtaalamu ama ticha kaonekana sasa nataka kutumia nafasi hii kujifunza kitu kupanua ufahamu tu mshana jr amebobea kwenye hizo mambo sana...Yaana akiamua kutuchukulia wake zetu huku wote anawachukua tena hii ni taadhari wife amaizing, shem wangu aggyjay , lizziebettie , Nahrene popote alipo, Patience123 wakae mbali sana na huyu mtu asee..Braza unataka kujifunza Ulozi?
Si wewe hapo kwa kumuita shemdarling.bby achana na youbld mchonganishi
Watu hawana undugu tena na vitu kama hivi ndiyo vinafanya tushindwe kuwaruhusu wake zetu kwenda kumfariji youngblood maana ghafla watatupia ule music unaosema ''shemeji shemeji huku mwazimaa taaaa''Kivipi tena?
Jimena si ni ndugu yako au?
Naomba unitag na mie braza kwenye huo uzi.Kuna mahali kuna uchambuzi mzuri sana kuhusu hili ngoja nikipapata takutag
Mumy mi ntakuwa nambembeleza mtoto na kumbdilishia pampers tu wakati wewe uko disco ...Wala usijali my dear..Si unajua vile nakufeel?Khaaass![]()
![]()
Bby thanx sana kwa huo uaminifu ila nirud saa nane halafu wewe nikuache na nani?????????
Kumbuka hata ukuaji huwa tunaanzia kutambaa then tunatembea, hata kwa hili linaweza kuanza mdogo mdogo.ni jina tu honey
Noted...!Naomba unitag na mie braza kwenye huo uzi.
Basi bora yesheeeNi sawa tu...wacha waje juu ti maana umewaweka curious toka post ya 900😡😡😡

Ndugu yangu siulisha kubali majina hayo wayatumie kumfariji youngblood tu na akisha-recover wanamtema nadhan shem aggyjay ameelewa na isipite mipaka..Kumbuka hata ukuaji huwa tunaanzia kutambaa then tunatembea, hata kwa hili linaweza kuanza mdogo mdogo.
Wifi nimekukubali..wakwe,,wanauliza lini utaleta barua..
Ngoja nipite tuBasi bora yesheee![]()
![]()
Sitaki majina yenye kuleta utata.umekubali nimwite hayo majina?
hpn chezea mimi wifi...lazima atafute hati miliki hapaWifi nimekukubali..
Barua iende na mahari ilipweee
Mmmh...! Pagumu hapo.Kwani ndugu hawatoki out?? Usisahau tuliuza nyumba moja ya urithi....
Bby unataka hiyo dawa kwa matumizi gani tena???Ntashukuru sana mkuu...Na ni kweli kuna dawa mtu unaweza pewa ikiwa inasababisha kukubaliwa na kila mwanamke unayemtaka yaani kwa mfano unakutana na amaizing barabaran nikimtaka tu ananifuata na labda nakutana na shem wangu lizziebettie nikimgusa tu anakuja...Na hata Jimena nikikutana nae kwenye kidala dala nikishuka tu nayeye ananifuata...Je hii ni kweli na inafanyaje kazi?
