Ni nzuri, tunamshukuru Mungu kwa kutubariki kuiona tena siku ya leo.Safi kaka. Za wewe
Vyema na haki kumshukuru MunguNi nzuri, tunamshukuru Mungu kwa kutubariki kuiona tena siku ya leo.
Pamoja sana braza. Siku njema.Aaaamen
Nin kiliendelea hapo mkuu...Maana tulizoe kuona mwili ukitumika kutengeneza mishkaki sasa hapo...Kichwa tu ndo kimeenda mwili umeachwa?
Tupo salama kabisa, ila tulikuwa na mgogoro kidogo kuhusu baby wangu aggyjay na shemejiye youngblood.Namshukuru Mungu kwa siku hii ya leo aliyetujalia tukiwa na Afya tele...Wewe na Shemeji yangu mnaendeleaje mkuu?
Amina!Vyema na haki kumshukuru Mungu
Mmmh mbona mnaagana asubuhi asubuhi bila hata kukaribishana sikukuuPamoja sana braza. Siku njema.
MalighafiNin kiliendelea hapo mkuu...Maana tulizoe kuona mwili ukitumika kutengeneza mishkaki sasa hapo...Kichwa tu ndo kimeenda mwili umeachwa?
Dah! Pole sana ila shemeji yangu youngblood tangu mpenzi wake Nahrene atoweke bila taarifa amekuwa ni mtu wa mawazo sana sasa kumsaidia wewe mpe darasa tu my wife wako aggyjay aendelee kumfariji tu kwa kumwita majina matamu ila asipitilze mipaka mpaka pale Nahrene atakapo patikana...Na the same nitafanya kwa wife wangu amaizing awe nae karibu tu amfariji..Tupo salama kabisa, ila tulikuwa na mgogoro kidogo kuhusu baby wangu aggyjay na shemejiye youngblood.
Huyu mbwa au fisi?
Anitafute harakaDah! Pole sana ila shemeji yangu youngblood tangu mpenzi wake Nahrene atoweke bila taarifa amekuwa ni mtu wa mawazo sana sasa kumsaidia wewe mpe darasa tu my wife wako aggyjay aendelee kumfariji tu kwa kumwita majina matamu ila asipitilze mipaka mpaka pale Nahrene atakapo patikana...Na the same nitafanya kwa wife wangu amaizing awe nae karibu tu amfariji..
Mmmh mtashikana ugoni humu naonaHii ni nini my love?
OK...Mkuu naomba nieleweshe hili kama utakuwa unajua...Nini kilifanya paka wakawa wanatumika kwenye maswala ya kishirikina na si mbwa wala sungura?Malighafi
I missed you like crazy honey... R u OK?
bby achana na youbld mchonganishiNipo njiapanda hadi sasa, sielewewi kabisa.
Basi sawa nimeshaelewa.
Basi sawa kwa vile umeniambia wewe braza wangu, nitajitahidi nitaongea nae baby wangu aggyjay.Dah! Pole sana ila shemeji yangu youngblood tangu mpenzi wake Nahrene atoweke bila taarifa amekuwa ni mtu wa mawazo sana sasa kumsaidia wewe mpe darasa tu my wife wako aggyjay aendelee kumfariji tu kwa kumwita majina matamu ila asipitilze mipaka mpaka pale Nahrene atakapo patikana...Na the same nitafanya kwa wife wangu amaizing awe nae karibu tu amfariji..