Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Haya umeyakuza ww bhana😱😱
We utanichapaje kibuti live live🙄
sasa si tungeyamaliza kimya kimya?? Ila wapambe wamekuja juu sanaHaya umeyakuza ww bhana😱😱
We utanichapaje kibuti live live🙄
sasa si tungeyamaliza kimya kimya?? Ila wapambe wamekuja juu sanaTulia mkuu.😱😱😱 huyu na nahrene kweyevusername na avatar nyingine au???
Nipatwa na mshangao mkubwa kuliko hata ule wa kibuti😱
Soma post zote utalionaMbona sijaona hilo jibu.!!
Wasalaam wakuu
Itabidi uibadilishe maana hakuna namna nyingineIla wewe mwanamke una roho mbaya!!!![]()
![]()
![]()
Kwa style hii huyu kijana watoto wazuri ataishia kuwaita shemeji.Itabidi uibadilishe maana hakuna namna nyingine
Mkuu, mkomalie tu anaweza akakubali.
asante shemdarling! i missed u tooI missed you too my sweetheart.
Karibu sana.
Niko poa sanaVipi mkuu!
Dah!asante shemdarling! i missed u too
bby c nmekwambia pale juu sababu ya ukimyaMpenzi aggyjay mbona unakaa kimya kiasi hicho jamani?
Kuchapiwa ni siri ya ndaniHaya umeyakuza ww bhana😱😱
We utanichapaje kibuti live live🙄

Ukiona hivyo ujue wenzako wanafanya mambo.Mpenzi aggyjay mbona unakaa kimya kiasi hicho jamani?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sasa si tungeyamaliza kimya kimya?? Ila wapambe wamekuja juu sana
Nilikuwa usingizini ila sauti yako imeniamshadamtanzania na youngblood nmewasalimu tuu.
mshana jr nmekukumbuka!!! Mbona hujanitumia ule mzigo kutoka sudani????
Th Name upo???? Msalimu sweetshem Lizzy
amaizing mpendwa pokea hi....huko nyanda za juu kusin kwema??
Mandela kiwelu hii.....
Mimi nilijua mshana jr bata zake ni chini ya mibuyu.!!!
PoleeNilikuwa usingizini ila sauti yako imeniamsha
Nyanda za juu kusini ni kwema ila hii baridi ni balaaaaaaa