Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Sana tuuuu...... Mimi kama wifi naunga mkono harakati hizohpn chezea mimi wifi...lazima atafute hati miliki hapa
Sana tuuuu...... Mimi kama wifi naunga mkono harakati hizohpn chezea mimi wifi...lazima atafute hati miliki hapa
Mmmmm basi we utakuwa na tabia za mkoloniMmmh...! Pagumu hapo.
Ukishapewa useme kabisa nisije panda daladala na wewe mana itakuwa kaziiHapana ndugu yangu unajua huu ndiyo wakati mtaalamu ama ticha kaonekana sasa nataka kutumia nafasi hii kujifunza kitu kupanua ufahamu tu mshana jr amebobea kwenye hizo mambo sana...Yaana akiamua kutuchukulia wake zetu huku wote anawachukua tena hii ni taadhari wife amaizing, shem wangu aggyjay , lizziebettie , Nahrene popote alipo, Patience123 wakae mbali sana na huyu mtu asee..
Hapana Mumy nilikuwa nataka kupata darasa huru kabisa lisilo egemea popote...Usitie shaka my wife mimi hapo kwako nimefika nimetulia na handbrake nimevutaBby unataka hiyo dawa kwa matumizi gani tena???
Unaniogopesha my![]()
![]()
Watu hawana undugu tena na vitu kama hivi ndiyo vinafanya tushindwe kuwaruhusu wake zetu kwenda kumfariji youngblood maana ghafla watatupia ule music unaosema ''shemeji shemeji huku mwazimaa taaaa''
Hata mimi nimeshaliona hili.Kwani ndugu hawatoki out?? Usisahau tuliuza nyumba moja ya urithi....
Mi niliacha kukuquote kipindi alipoweka lile neno ambalo nilikuwa naona halina mvuto na nilikwambia kuwa silipendi, ila toka umelitoa mbona maisha yanaendelea vizuri tu kama zamani!!![]()
![]()
Nshakwambia huwa unanitenga sana sijui kwanini!
Aisee...... Tofauti ni kubwa sanaaaa yani mlipa kodi ana hali ngumu sanaa![]()
Jionee tofauti
Fisadi v Mlipa kodi
![]()
![]()
![]()
![]()
..........................
Gud bro!Noted...!
Usitie shaka hakuna uwaribifu unaoweza tokea baiana ya kaka na dada labda upenda wa Agape tu....Kuna jamaa yeye alipewa kilikuwa kimzizi anakitafuna akikutana na msichana aliempenda anakitafuna chochote anachokueleza huruki hata kama ulikuwa unaenda church utageuza umfuate aendapo na mkishamaliza tu tendo pendwa ndo fahamu zako zinakurudia ila too late..Ukishapewa useme kabisa nisije panda daladala na wewe mana itakuwa kazii
Msiwe na shaka, mi sio wa type hizo...... Ni mtu mwenye msimamo wangu japo naishi kizunguWatu hawana undugu tena na vitu kama hivi ndiyo vinafanya tushindwe kuwaruhusu wake zetu kwenda kumfariji youngblood maana ghafla watatupia ule music unaosema ''shemeji shemeji huku mwazimaa taaaa''
Morning to you Shemeji?Habari za asubuhi wakuu.
yap honey ...Si ndo braza mshana jr?
Ndo maana huwa nakupenda sana baby wangu.hpn chezea mimi wifi...lazima atafute hati miliki hapa
Poa shemeji.Morning to you Shemeji?