EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,177
- 25,511
Nilikumiss sana baby, wazazi wazima lakini?sweetpie😉;
I really missed you my one and only!
Nlienda nyumbani kusalimia baby!
Nilikumiss sana baby, wazazi wazima lakini?sweetpie😉;
I really missed you my one and only!
Nlienda nyumbani kusalimia baby!
sweetpie😉;
I really missed you my one and only!
Nlienda nyumbani kusalimia baby!
Hii ni nini my love?I missed you too my sweetheart.
Karibu sana.
wazima wote..UnasalimiwaNilikumiss sana baby, wazazi wazima lakini?
kwan we humjui huyu mtu...Hii ni nini my love?
Tulia mkuu.
Mimi na EMMYGUY tumeamua kushare.
asante shemdarling! i missed u too
Dah!
Raha sana
Nipo njiapanda hadi sasa, sielewewi kabisa.Kuchapiwa ni siri ya ndani[emoji40]
Basi sawa nimeshaelewa.Ukiona hivyo ujue wenzako wanafanya mambo.
*ZINDUKA*
Nani tena kanisalimia huko?wazima wote..Unasalimiwa
Namjui kama youngblood, ila simjui kama shemdarling.kwan we humjui huyu mtu...
Kama wewe.Ambao hawajaoa ndio utawakuta asubuhi subuhi wapo kwenye huu uzi..
Habari ya asubuhi kaka!
God is very greatHabari ya asubuhi kaka!
Duh! Hongera sana braza kwa kuingiza pesa.View attachment 342434kazi ya jana imelipa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa ugumu lakini kisha jioni bhata sanaDuh! Hongera sana braza kwa kuingiza pesa.
Safi kaka. Za weweHabari ya asubuhi kaka!
Na azidi kutulinda na kutubariki siku zote. Sifa na Utukufu viwe kwake.God is very great
AaaamenNa azidi kutulinda na kutubariki siku zote. Sifa na Utukufu viwe kwake.
Siku zote namna ya kuipata pesa huwa ni ngumu, ukitaka hela za haraka labda ukaibe.Kwa ugumu lakini kisha jioni bhata sana