Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Mbona sijaona hilo jibu.!!Niliku promise kutoa jibu replies zikifika 20k na nimetimiza
Mbona sijaona hilo jibu.!!Niliku promise kutoa jibu replies zikifika 20k na nimetimiza
Kijana naona hali yako si nzuri kabisa.
Yani unatafuta kama jogoo.

Hilo lisingeweza kutokeaMie niko mzima, ila nilihofia ulivyokuwa kimya nikahisi utakuwa umetumbuliwa na zile pesa za urithi.
Usiku mwema wifiNimemaliza kutoa likes
Uck mwema wapendwa..
Hebu acha kukuza mambo basii......Yaani unatemwa live live bila hata chenga wala no signal!
Pole sana braza.
Pamoja sana braza.Usijali mkuu karibu...
Arudi haraka.Braza mshana jr bado yu safari, itambidi awe mvumilivu.
sweetpie😉;Yaani unatemwa live live bila hata chenga wala no signal!
Pole sana braza.
Na kwako pia shemeji.Nimemaliza kutoa likes
Uck mwema wapendwa..
MkuuHahahahahaha hata we pia ni wa ukweli
Au ndo kile cha masingle boy?Huyu kijana naona kichwa kinapata moto.
I missed you too my sweetheart.sweetpie😉;
I really missed you my one and only!
Nlienda nyumbani kusalimia baby!
Hebu acha kukuza mambo basii......
Vipi mkuu!Mkuu
I missed you too my sweetheart.
Karibu sana.